Thursday, September 25, 2008
5 comments:

Anonymous said...

Hii ni njaa tu. Unajua kuna watu wana njaa ya ASILI hata awe na nini ataendelea kutamani vitu vingine. Hata inapokuwa ni kwenye nyanja za mamlaka/madaraka yeye anataka ajirundikie ma-vyeo tu. Huyu mama hafai kabisa, loh. Hata akichukua hicho kiti bado atataka apewe kingine

Anonymous said...

http://www.iol.co.za/index.php?set_id=1&click_id=13&art_id=iol122235793718M345


Angalia cabineti ya kwa Madiba iliyoenda shule !!!ndogo tu lakini angalia mzigo unavyochapwa

1. The Deputy President
Ms B Mbete

2. The Minister of Foreign Affairs
Dr NC Dlamini-Zuma

3. The Minister of Defence
Mr C Nqakula

4. The Minister of Finance
Mr TA Manuel

5. The Minister of Provincial and Local Government
Mr S Shiceka

6. The Minister of Transport
Mr JT Radebe

7. The Minister of Social Development
Dr ZST Skweyiya

8. The Minister of Public Enterprises
Mrs BS Mabandla

9. The Minister of Communications
Dr IF Matsepe-Casaburri

10. The Minister of Public Service and Administration
Mr R Baloyi

11. The Minister of Labour
Mr MMS Mdladlana

12. The Minister of Public Works
Mr GQM Doidge

13. The Minister of Intelligence
Mr S Cwele

14. The Minister of Health
Ms B Hogan

15. The Minister in The Presidency


Dr ME Tshabalala-Msimang

16. The Minister of Correctional Services
Dr BMN Balfour

17. The Minister of Housing
Dr LN Sisulu

18. The Minister of Safety and Security
Mr EN Mthethwa

19. The Minister of Justice and Constitutional Development Mr ME Surty

20. The Minister of Education
Mrs GNM Pandor

21. The Minister of Arts and Culture
Dr ZP Jordan

22. The Minister of Sport and Recreation
Rev MA Stofile

23. The Minister of Environmental Affairs and Tourism
Mr MCJ van Schalkwyk

24. The Minister of Trade and Industry
Mr MB Mpahlwa

25. The Minister of Science and Technology
Mr MA Mangena

26. The Minister of Mineral and Energy
Ms BP Sonjica

27. The Minister of Home Affairs
Ms NN Mapisa-Nqakula

28. The Minister of Water Affairs and Forestry
Ms LB Hendricks

29. The Minister of Agriculture and Land Affairs
Ms LM Xingwana


DEPUTY MINSTERS

1. Foreign Affairs
Mr AGH Pahad

2. Science and Technology
Mr DA Hanekom

3. Safety and Security
Ms S Shabangu

4. Agriculture and Land Affairs
Adv DC du Toit

5. Environmental Affairs and Tourism
Mrs TR Mabudafhasi

6. Health
Mr M Sefularo

7. Arts and Culture
Ms NGW Botha

8. Provincial and Local Government
Ms NE Hangana

9. Social Development
Dr J Swanson-Jacobs

10. Justice and Constitutional Development
Adv JH de Lange

11. Defence Mr F Bhengu

12. Home Affairs Mr KMN Gigaba

13. Communications Mr RL Padayachie

14. Foreign Affairs
Ms SC van der Merwe

15. Public Works
Dr NM Kganyago

16. Sport and Recreation
Mr CG Oosthuizen

17. Trade and Industry Dr RH Davies

18. Trade and Industry Ms E Thabethe

19. Correctional Services
Ms L Jacobus

Mswahilina said...

Huyu aliyechora hii katuni ni kati ya wale wanaomuonea wivu mama Sofia Simba. Inaonekana kuwa ni shabiki wa Mama Janeth Kahama au ni mtu wa "nyumbani".

Anonymous said...

We mswahilina, nakuita jina lako tu. Lakini ningependa kukufahamisha kuwa mchora katuni hajataja jina la mtu kama ni kumwonea mama simba unamwonea wewe kumtaja humu mama wa watu. Kama huwezi kuchangia mawazo yako basi katulie lakini sio kuleta mawazo yako ya kizamani

Mswahilina said...

Aliye na mawazo ya kizamani kati yangu na wewe ambaye hukujitambulisha ni nani?
Bado nasema hivi: - huyu mtu aliyechora hii katuni ni shabiki wa Janet Kahama, na anamuonea wivu Sofia Simba.
Nawasilisha.