Wednesday, September 10, 2008

DARASA LA SABA LEO

LY MNAKUMBUKA? wanafunzi wa darasa la saba wakiwekanamba zao za mitihani jana kwa jili ya mitihani iliyoanza leo nchi nzima. Siku hizi imekuwa kwa siku mbili.

Wengine walikuwa wanachimbua chini ya miti ili kujiweka sawa kwa jili ya mwendelezo wa elimu huko mbeleni!

No comments: