Saturday, September 20, 2008

ELIMU BONGO

Wanafunzi wa Shule ya msingi Millenia ya tatu iliyoko Bonyokwa,wilya ya Kinondoni wakiwa wamekaa chini darasani kumsubiri mwalimu.Shule hiyo inakabiliwa na upungufu wa walimu,madawati na madarasa

No comments: