Friday, September 12, 2008

KASHESHE JENGO

Ghorofa linalodaiwa kuwa limepinda limeundiwa nalo tume kulichunguza, kizaa zaa kinaendelea jijini sijui itafikia wapi?

Wananchi wakilianagalia jengo hilo, siku nyingine nitawawekea picha za maiti zikitolewa kwa akuwa yaliyodondoka pamoja na maafa yalikuwa katika hatua za ujenzi sasa hili wadosi wanaishi sijui itakuwaje?

No comments: