Friday, September 12, 2008

KUMALIZA SHULEYaani hii inakumbusha enzi hizo za LY (Last Year) walikuwa wanatuita wakati tukiwa machimboni bush. Kipindi hicho tuliamini kumaliza la saba ndio kumaliza elimu.

No comments: