Thursday, September 11, 2008

MAUAJI YA MUHIMBILI

David Denge ambaye anadaiwa kuua wagonjwa wenzake wodini muhimbili Agosti 11 mwaka huu. Mimi nilifikiri ni bonge la mtu kumbe wala!?
Askari akimwongoza David kutoka mahakama ya Ilala jana asubuhi alipofikishwa kusikiliza shauri lake la kuua watu wawili na kujeruhi vibaya wengine watano. Kajamaa kapole kichizi huwezi kudhania!

1 comment:

Anonymous said...

Ehee kajitu aka ndiyo kameundiwa tume,nilijua bonge la jibaba jitu la mirabu minne kama we mwenye blog,kumbe ni mtoto,makubwaa