Wednesday, September 10, 2008

KIOJA MAHAKAMANI

Jamaa baada ya kutolewa chooni alidhibitiwe avilivyo na Polisi.
Akaoshwa kinyesi chote kutoka mwilini mwake.
Akawa msafi lakini na kasmell kidogo.
Akarejeshwa rumande! Sijui kama polisi walitumia dawa gani kunawa mikono!

3 comments:

changamoto.blogspot.com said...

Suala la kumdhibiti walifanya vema, lakini vitendea kazi ndio shaka. Kweli hawa askari na hata hao jamaa wa zimamoto hawakuwa hata na glovu za kuvaa wakati wakimdhibiti walipomtoa chooni? Kama walifikia hatua ya kuita zimamoto ina maana walishawapa taarifa ya nini kimetokea, hivyo haikuwa ghafla kiasi cha kushindwa kujikinga kwa kuvaa vidhibiti. Hapa suala si harufu tu, bali pia maradhi kutokana na vyoo vyenyewe kutumiwa na watu tofauti tena wafungwa wenye maradhi ya ajabu ajabu.
Hopefully wote wako salama na nawapongeza kwa kazi nzuri, ila na wahusika wawapatie hawa jamaa vitendea kazi.
KAZI AMA MTEGO?

Mzee Wa Changamoto
www.changamotoyetu.blogspot.com

Anonymous said...

Ukisikia ajali kazini ndio hiyo iliyowakuta maafande wetu, poleni sana. by frozina

EDWIN NDAKI said...

askari wetu wanafanya kazi katika mazingira magumu na kuongozwa na sheria nyingi za kikoloni (PGO)