Wednesday, September 10, 2008

HATNA YA NAPE


Zengwe la Nape linazidi kuwa kubwa tayari Umoja wa Vijana wamemchukulia hatua ya kumvua uanachama ili asiweze kugombea uenyekiti. Makamba kesha toa la moyoni mwake kuwa nape hafai kuwa kiongozi.

Hatma ya dogo iko mikononi mwa wa wajumbe wa NEC leo, Kamati Kuu jan ailikaa mpaka usiku wa manane nini kitajiri leo? Je atachinjwa ama ndio kama kawaida? Tuwasikilize wenye nchi watakavyoamua hapo baadae. Hizi ndio Si Hasa.

No comments: