Wednesday, September 10, 2008

MAMBO MAZITO CCM

JK akiweka sawa makablasha katika kikao cha kamati kuu jana! Zigo hilo linatisha busara zake zitaweka mambo sawa katika vikao hivi.
Wajumbe wakiwa ndani ya ukumbi kwa ajili y amaamuzi ya mustakabali wa nchi.

No comments: