Wednesday, September 03, 2008

MAHAKAMA YA KINA ZOMBE

Kesi ikiendelea nje ya nyumba ya Ngoyani inapodaiwa ndipo walikokamatwa wa mrehemu kabla ya kuuwawa.

Shahidi, ACP Emson Mmari akitoa ushahidi katika msitu wa Pande, eneo linalodaiwa kuuawa wafanyabaisahara hao. Hapa ndio inadaiwa walilazwa baada yakuuawa.
Msafara wa magari ya kiwarudishwa watuhumiwa rumande jana eneo la Mwenge baada ya kesi kuahirishwa hadi leo itakpoendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu.

No comments: