Friday, September 19, 2008

MATATIZO YA MAJI

Yaani sasa tatizo la maji linaelekea kuwa jambo la kawaida kwani baada ya bwawa wa Minaki kuanza kukauka wakazi wa wilaya ya Kisarawe wanakesah kutafuta maji, hebu cheki foleni hii kama ndio umefika kuchota maji!!


No comments: