Friday, September 19, 2008

TABASAMU

Mdau Peter ameleta mambo haya:
Hii ilikuwa Novemba mwaka jana ndani yaIFM nikiwa na mother house wangu Angela wa Msofe tukiwa na tabasamu na furaha yetu siku hiyo

1 comment:

Mzanzibar 100% said...

Lazima nikiri kwa moyo na kwa maandishi kwamba mmependeza! Naweza kuona upendo wa dhati ndani ya mioyo yenu...! Hongera pia kwa kujitwalia NONDO yako!