Tuesday, September 30, 2008

MATONYA MWINGINE


Mzee alikuwa anapiga dili la kuomba jijini Dar es Salaam, sasa amerejeshwa Dodoma, sijui kama hili zoezi linakuw ana majibu kweli? baadae utamwona huyo karejea Samora, Kijiwe chake kilikuwa karibu na Tahfif mtaa wa Mansfield.

No comments: