Tuesday, September 30, 2008

IDD MUBARAK


Idd imeshafika viungo ndio hivyo vinanunuliwa kupita kiasi yaani kuanzia leo ukipit amitaa ya Ialal Magomeni answar wameshaswali ni harufu ya pilau na biriani tu, subiri keshi uswazi, utakimbia!

Shopping Congo nayo imekolea vitu vimepanda bei kichizi! Idd Mubarak wote!


1 comment:

Longolongo said...

Ee hee, vipi aliyevaa gauni la zambarau? ni ... nanihii ... wako ..... nini? ...