Tuesday, September 30, 2008

MAMBO YA CHADEMA TARIME


Wapenzi wa chadema wakiandamana mjini Tarime baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliohutubiwa na Zitto Kabwe. CCM wamelalamikia kitendo cha watu wa Chadema kuchoma sare na bendera za CCM(pichani chini)

2 comments:

Anonymous said...

safi mzee wa sumo. tunategemea mapicha zaidi kutoka huko.

Mzee wa Sumo said...

Niko huku mwenyewe safari ni ndefu ningejuaningepasnda ndege!