Tuesday, September 30, 2008

KIBOKO YA SIMBA


Mkazi wa Simgiziwa Kata ya Chanika, Hamisi Mgarura aliyepambana na Simba akiwa nyumbani kwake na kamfugo kake baada ya kutoka hospitali. Sasa hivi anapata watu wengi wanaokwenda kumfahamu hali yake.

No comments: