Monday, September 22, 2008

MLINZI


Jamani hata kama ni gobole mtu anaweza kukwapua, hapo uko ndani unajua kuna mtu anakulinda nje! Si afadhari kuwa na mbwa!

1 comment:

Anonymous said...

Huu ujasiria mali mwingine sio mzurii, jamaa huwa anafanyakazi part time ya kulinda usiku, sasa akiingie kwenye kazi yake ya kawaida ya kulinda mchana inakuwa tabu sana.