Friday, September 26, 2008

NMB BUKEDE!!!!!!!!

SERIKALI YAUFYATA


Sasa Kweli serikali imesalimu Amri kwa mkwara wa wafanyakazi wa NMB na kil ammoja anayehusika katika pande hizo wamesaini na mambo sasa yatakuwa shwari!!!! Big Up kwa wafanyakazi kung'ang'ania haki yao

No comments: