Friday, September 26, 2008

VICHAPO


Jamani sitaki kusema san alakini hivi vichapo tunavyowapa wenzetu tukiwashuku ama wakifanya kweli vinastahili? mara nyingine watu wanaambulia moto wallah!

4 comments:

Anonymous said...

picha ulizoweka hapa bwana bukuku. ni very graphic. and sensitive kwa wasomaji wengine. sina uhakika kama umefanya utafiti ni watu ngani unalenga kuwapa ujumbe katika blog hii....kama ni hivyo basi kabla watu hawajafungua blog yako waonye wasomaji wako kuna picha ambazo ziko graphic. mimi ndio ninavyojua hiyo ndio ethics ya taaluma hii.yafaa nini kuonyesha jamii mauaji ya mtu aliyekwapua saa ya mkononi made in china (very poor quality), maisha ya mtu ni ghali zaidi kuliko hiyo saa.
nakupa kazi hii ya kufanya(assignment)make a picture story jinsi wa hao watu wakubwa njinsi wanavyoishi, and then compare na mtu huyo anataka kuchomwa moto.ninajua umeenda shule kwa kazi hii. ok! do the right things.

Mzanzibar 100% said...

Hakuna "distinction" kati ya mwizi wa mabilioni na mwizi wa mabilioni ya Taifa na mwizi wa saa made in china au mwizi wa chupi ilioanikwa kwenye kamba, wote ni wezi tu!Lakini kibaya zaidi hawa wezi (vibaka) uchwara ndo wanakera zaidi, sababu baadala ya kwenda kuiba Bank kwenye fedha kibao au kwenda kuwaibia matajiri akina bakhresa, mengi, au MAFISADI wa EPA na Richmond wao wanawakwapulia walala hoi!

Hivi basi hata hiki kidogo nlichoachiwa na MAFISADI pia wewe kibaka unataka uninyang'nye?! Hata haiwezekani...!

Anonymous said...

la hasha! mzanzabari kulalamika.saa kitu gani? kwako wewe ushaporwa nchi uko kimya. weye ni mkazi wa zanzibar....tanganyika siye tunajari maisha ya watu.

Anonymous said...

Tatizohawa vibaka wakikukuta hawana huruma hata chembe wana uwezo wa kukufanya lolote watakalo