Thursday, September 25, 2008

RAILA IN DAR

Waziri Mkuu wa kenya, Raial Odinga akisalimianana mtoto wa swahiba wake John Pombe Magufuli katika Uwanja wa ndege Dar es Salaam jana alipowasiri. Myuma yake ni mwenyeji wake, waziri Mkuu mwadilifu Mizengo Kayanja Peter Pinda. Waziri Mkuu Mizengo pinda akimshangaa Raila alipovutiwa na kinyago cha Kimakonde! Hivi Kenya hakuna wamakonde? Ila jamaa anaonyesha mpiagaji kichizi!

No comments: