Friday, September 26, 2008

TARIME KUMEKUCHA


Wasafirishaji wa tarime (Taxi ama Bodaboda ukweni kwetu) wakiwa pembeni ya kibao kinachouliza 'Chacha umetuachia nani?' hii nadhani kwakuw akila chama kinadai Chacha wangwe aliwaachia jimbo hilo sikui kuna kijiti kama kwenye riadha?

No comments: