Friday, September 26, 2008

TEKNOLOJIA


Fundi ujenzi Maulidi Mohamed wa kampuni ya Ital Frame akipanga ndoo 55 ikiwa ni njia waliyobuni kuteremsha vifusi toka Ghorofa ya 9 kwenye jengo wanalolijenga la Habour View mtaa wa Samora awali walikuwa wakitimia Mashine lakini haikuwa na ufanisi kama mbinu yao mpya jijini Dar es Salaam.

1 comment:

Anonymous said...

Mbona siyo kitu kipya: Sehemu za wenzetu midle mashariki ya kati nimeiona hii ikifanyika, kahamisha technology na wala siyo kitu kipya.