Thursday, September 04, 2008

UNYAMA GANI HUU

Jamani hivi huu unyama wa kutupa watoto utamalizika lini? Nashindw akuelewa tatizo ni la mabinto ama wanaume ama wazazi lakini hii ni noma kubwa!

1 comment:

Anonymous said...

Kutupa watoto sio tatizo hapo bali ni matokeo ya tatizo kubwa. Sidhani kuwa kuna sababu moja ya wasichana kutupa watoto. Ni mchanganyiko.