Wednesday, October 29, 2008

GIZA

Wamachinga kumbe wako kote tu nilifikiri ni Bongo pekee!

Wenzetu wanatangaza utalii wao mpaka watalii wanazidi kiasi kwasiku maelfu wanatembelea vivutio vya Misri.

Jamaa wa Kizenji, Jamal Adi, akiwa ameegemea tofali lililojengewa Pyramid (cheki ukubwa wake) kila siku najiuliza waliwezaje kuyafikisha hadi juu!


Usafiri wa Jangwani!
Watalii wakiangalia sanamu mbalimbal;i zilizojengwa zaidi ya miaka 4000BC, hii wanaita Syphinx sijui kama nimepatia spelling lakini ndio hiyo.1 comment:

Anonymous said...

Duh umenikumbusha mbali sana mzee,hizo sehemu zote mi nilitia mguu mwishoni mwa 98,nadhani umejionea ni jinsi gani wenzetu wanavyo jali historia yao kiasi kwamba Cairo museum huwa haitoshi siku za week end,anyway ulitia timu Afican night club hapo Giza?kama hukutia timu hapo basi umekosa uhondo safari nyingine ukibahatika kwenda fanya kila njia uingie.