Wednesday, October 29, 2008

HISTORIA


Mzee wa Sumo akiwakilisha katika Mapyramid.

4 comments:

Anonymous said...

Duh! kweli we mzee wa sumo, huo mwili unaukubali mkuu?? hakuna njia ya kufuta hilo tumbo maana maisha yenyewe haya ya kibongo ni kutoana nduki kila wakati, sasa mzee inakuaje vibaka wakati wakitaka kulamba hiyo camera nduki ipo hapo kweli?!!

chokoraa said...

huyu hata sumo hawezi, mineno kibao tu vitendo zero!, alichapwa sana na mgambo wa magereza pale ukonga, hata hakujitetea na mkanda wake wa sumo!

Anonymous said...

You so ugly like shit motherfacka..you need to go to gym bitch ass !

Anonymous said...

Hicho kitambi matatizo matupu huna hata kitu mfukoni lol!!