Wednesday, October 29, 2008

MAKUMBUSHO

Watu wakiwa makumbuisho ya Cairo.
Mabaki ya miili ya wartu wa kale, vijamaa vilikuwa vifupi sana sijui wamisri mbilikimo?


Haya majeneza yao sikuweza kupiga pich avyema kwa kuwa hairuhusiwi ndani ya jumba la makumbusho hizi ni za wizi bila kuweka jichoni.

No comments: