Friday, October 03, 2008

MAAFA TABORAWananchi wakiwa wamefurika kwa ajili yakutambua miili ya ndugu jamaa na marafiki zao baada ya kutokea maafa katika disco ambapo watoto 19 walikufa kutokana na msongamano wakati wa sherehe za Idd el Fitr mjini Tabora!

No comments: