Friday, October 17, 2008

MAKAMBA HUYOO LUSHOTO

Katibu wa CCM Yusuf Makamba akinunua bidhaa za zawadi wakati akielekea kwao Lushoto jana kwa ajili ya mapumziko mafupi baada ya kakazi ngumu Tarime! Sijui Lushoto nyanya hamna ama?

3 comments:

Anonymous said...

acha akapumzike na atumie marupurupu na posho ya ccm,huku wananchi wanaoipigia kura ccm,hawana maji safi,madawati ya wanafunzi,walimu hawalipwi mishahara wala marupurupu yao,hio ndio bongo waerevu wanapeta na wajinga walie ,kama alivyosema mzee makamba ati mto wa dereva au wa mkulima atabaki hivyo hivyo mpaka kiama.kwa maana watoto wa vigogo watafaidi nchi kama anavyofaidi makamba...sisi hio hoi tutakufa hoi hoi....kila ncha ina mapana,na lenye mwanzo lina mwisho....wakati utakufundisha mzee makamba na wenzako mnajiona kama nyinyi ndio miungu watu..msiojali maslahi ya nchi yetu.mnajali masilahi ya watoto wenu na familia zenu...

Anonymous said...

hee we kaka mbona wewe ukitoka safari unanunua nyanya njiani kupeleka kwenu either kijijini au mjini ,cha ajabu kipi.kwani huko pia nyanya hamna.Hawa watu ni wanasiasa lakini ni binadamu as well.

Anonymous said...

Huyu mzee ni simpo, na kitenda chake cha kununua bidhaa kutoka kwa watu local kinahitaji pongezi. He is supporting their lively hood, siyo kama watz wengine wanaojisikia kula apple imported kutoka sauzi