Friday, October 17, 2008

RUVU DARAJANISasa hivi wachina wamemaliza kujenga daraja la Ruvu kwa sisi wa bara kwenda kama mterezo. Ingawa wakwere pakle wamelalamika kuw ahakuna matuta magari yanapita kasi sana. Taarifa niliziopata ni kwamba wanataka iwe kama daraja la zamani wakwapue mizigo kwenye malori. Hongera Magufuli wa siku hizi kwa daraja kabambe!


1 comment:

Anonymous said...

matuta kwenye highway? ila jamani kwenye hizi highway wangekua wanajenga underpass kwenye population kubwa ya watu ili waweze kuvuka upande mwingine bila bugdha na hatari ya kugeuzwa lami.