Thursday, October 30, 2008

MSOBEMSOBE

Jamani kazi nyingine ngumu! Hebu cheki hawa vijana walivyombeba mzee huyu utafikiri mtuhumiwa wa EPA kapatikana!?

1 comment:

Anonymous said...

Haya yote yametokana na Wananchi kukosa imani ya serikali na Viongozi wao.Kama mafisadi wa EPA nao watapigwa Tanganyika jeki hivi hivi basi nchi yetu itakuwa mbaali kwelikweli.