Friday, October 10, 2008

TARIME SASA ANGA KWA ANGA

Helkopta inayotumiwa na CCM ikiwa angani jana kuendeleza kampeni. Wanasema wanaongeza mbili ili kumaliza kazi kesho.
kama kawaida Chopper la Chadema lilikuwepo kwa jili ya kuliokoa jimbo la tarime.

4 comments:

Anonymous said...

kumanina zao watu wanakufa kwa njaa, dawa hakuna hospitalin, walimu hawalipwi mishahara yao pamoja na manesi na madokta wao wanafanya ushindani wa helikopta Tanzania hatuna viongozi wenye kuleta maendeleo wooote mafisadi tuu... sh****zi zao msysuuuuuu!!

Anonymous said...

Mimi hadi sasa, bado sijaelewa maana ya helkopta kwenye kampeni. Au inamaana mgombea inabidi awe angani ili aonwe na watu wengi? CCM nasikia wanataka waongeze ziwe 2. Kinachotia huruma nasikia helkopta hizi zinakodiwa Kenya. CCM inabidi wajiulize kwanini Tanzania hakuna helkopta za kukodi ili hali wao wameongoza nchi hii tangu izaliwe?

Anonymous said...

NINGEKUWA NA UWEZO NINGEWASHAURI WAPIGA KURA WA TARIME....KURA ZOTE ZIHARIBIKE ILI TUONE HIZO HELKOPTA ZITASAIDIA NINI.

Anonymous said...

unalo babu chopper zimefanya kazi na matokeo ndio hayo tena yanatoka.