Thursday, November 20, 2008

KILA MTU MAHAKAMANI

Katibu mkuu mstaafu vyuo vikuu Tanzania Bara na Visiwani Julius Mtatiro akisalimiana na Askari magereza katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana,baada ya kutuhumiwa kwa kosa la kuwahamasisha wanafunzi wa vyuo vikuu kugoma kuingia madarasani.

4 comments:

chapombe said...

EBWANA KAKA SUMO WEWE NI MPIGAPICHA WA MAHAKAMA NINI MAANA MATUKIO UNAYONICHUKULIA VIZIMBANI NA KUTUWEKEA HAPA TUNAFURAHI SANA SISI TUNAOISHI INJE YA HOME..NAKUPONGEZA NAENDELEA NA BIDII..ASANTE

Anonymous said...

tunakwenda wapi!!
Kwa nini wasiwakamate mafisadi waliosababisha uchumi kuporomoka?

Anonymous said...

mzee wa sumo upo kwenye mgomo na wewe nini.

Anonymous said...

Mpoki hebu acha usenge! weka posts huku!