Thursday, December 18, 2008

HABARI MPASUKO

Imetokea leo Shinyanga Hospitali: Madakatari wawili wamechapana mpaka kupigana visu wakigombea kumtahiri Albino. Habari zaidi tutapata baadae!

2 comments:

Anonymous said...

Wewe nawe hauna deal... funga blog yako tujue moja.

Anonymous said...

pole kwa msiba, nadhani ni wa mzee wako! any way yoote ni kazi ya mungu. blog yako ni nzuri, though ilikuwa haina kitu kwa siku nyingi. wish you all the best.

Mdau.