Monday, November 03, 2008

MACHINGA NA MGAMBO

Hawa jamaa mimi nashindwa nani yuko sawa ama nani mjinga, mgambo kila siku wanakamata mali za machinga lakini nao wanaendelea na biashara!

3 comments:

Prosper said...

Mzee Sumo hivi umeshasikia hata siku moja hawa jamaa wa City Council wanatangaza mnada wa hivi vitu wanavyowapora hawa Wamachinga?
Maana hata kama wanaviweka stoo basi itakuwa itakuwa ni stoo kubwa kiasi gani maana kila siku wanavisomba.
Prosper
Dar es salaam.

Anonymous said...

Mzee Sumo hivi umeshasikia hata siku moja hawa jamaa wa City Council wanatangaza mnada wa hivi vitu wanavyowapora hawa Wamachinga?
Maana hata kama wanaviweka stoo basi itakuwa itakuwa ni stoo kubwa kiasi gani maana kila siku wanavisomba.
Prosper
Dar es salaam.

Anonymous said...

Kuna siku yataisha.

Franz Fanon katika kitabu chake cha The Wretched of the Earth alizungumzia akili ya mlalahoi. Fanon alifafanua kwamba mlalahoi anaposhindwa kumdhibiti mkandamizaji huwa anamgeukia mlalahoi mwenzie ambaye ni mnyonge na kuanza kumkandamiza.

Jambo moja ambalo seikali inapaswa kuliangalia sana ni kwamba akitokea psychopath anaweza kupata recruits wazuri sana toka katika kundi la Wamachinga. Hii ni evident ukiangalia jinsi kina Foday Sankoh kule Sierra Leone, Charles Taylor na Prince Johnson kule Liberia, Ivory Coast, na Congo jinsi walivyowatumia au wanavyowatumia vijana kama hawa wakati wa uasi.

Mungu pishilia mbali lakini kuna siku mgambo wa city watapagaishwa na kustushwa na Wamachinga. Mgambo watakuwa na virungu hawa vijana watakuwa AK 47 na vibirika. Mark my word.