Monday, November 03, 2008

WAZEE EAC

Yaani hawa wastaafu wa Afrika Mashariki wamekomaa kichizi, ingawa wanayeyushwa malipo yao lakini wamekomaa! Sijui mwisho utakuwaje? Nasikia wanataka kuvua nguo Ikulu mwishoni kulaani Serikali.

No comments: