Monday, November 03, 2008

MITIHANI FORM IIHii imenikumbusha mbali kipindi hicho tunatumia vibomu ukikuta kusachiwa kama hawa watoto wa form II walioanza mitihani jana, utakoma lazima ukimbilie chooni.

1 comment:

Bablee said...

Ha ha ha ha Mzee wa Sumo...we acha tu!