Thursday, November 06, 2008

MAFISADI ZAIDI MAHAKAMANIJamaa wengine wameongezwa kwenye kesi ya mafisadi nadhani orodha itakuwa kubwa leo wameingia watatu, wale nyuma! Shaban Hussein (kushoto),Rajabu Shaban na Japhet Lema wa kampuni ya .... ,wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jan awalipofikishwa kujibu tuhuna za wizi huo. Cheki vifaa wanavyokuja navyo mahakamani ndugu zao sijui lile lingine gari gani jamani nimezoea VX!!!!5 comments:

Anonymous said...

Acha miyayusho mpoki ni Porche cayenne!

Anonymous said...

mwali...mwali..mwali..mwali. Kudadadeki walahi, leo keko leo!!!

Anonymous said...

hilo gari ni la ikulu,limeleta usalama wa taifa! wan check kama mambo ndio ndivyo na sivyo!

Anonymous said...

Acha usanii we hapo juu Gari la Davies Mosha hilo... Alikua amefika hapo kucheki masela wake.

Anonymous said...

Masela wake au wezi wenzke acha upuuzi wewe