Thursday, November 06, 2008

MBAGALA BALAA

Wakazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam wakivuka sehemu ya Mto Kizinga ilyojaa maji hadi kufunika karavati na kusababisha uharibifu wa Barabara na kukata mawasiliano kati ya Mbagala na katikati ya jiji kutokana na magari kushindwa kuvuka sehemu hiyo.

No comments: