Thursday, November 06, 2008

OBAMA DILI

Msanii Maulidi Salehe 'Mau' akichora picha ya Rais mpya wa Marekani mwenye asili ya Afrika Barrack Obama eneo la Tabata Dampo jana,ambapo hutumia siku tatu kuchora picha moja kama hiyona kuuza sh 400,000.

No comments: