Friday, November 07, 2008

Baadhi ya watuhumiwa wa wizi wa mamilioni ya benki ya Barclays wakibubujikwa na mchozi katika mahakama ya Kisutu jana baada ya hakimu kuwanyima dhamana kwa mara ya pili. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 22.

1 comment:

Anonymous said...

kaka novemba 22.ni jumamosi?inakuwaje?