Monday, November 10, 2008

NYAULAWA KUZIKWA ALHAMISI

Mbunge wa Mbeya Vijijini na Mkurugenzi wa Business Times Ltd, Richard Nyaulawa (pichani juu) anatazikwa kijijini kwao Inyala mkoani Mbeya. Msiba bado uko kwake Kawe beach na maandalizi ya safari siku ya Jumatano yanaendelea.

Pich aya Chini: Imma Mbughuni akimfariji Rehure Nyaulawa jana baada ya msiba wa baba yake, Richard Nyaulawa ambaye ni Mbunge wa Mbeya Vijijini aliyefariki dunia jana. Wazazi wa Imma na Rehure, Richard na Rashid Mbughuni ndio waanzilishi wa kampuni ya magazeti ya Business Times. Wengi tumaingilia kwenye fani kupitia kampuni hiyo.

No comments: