Monday, November 10, 2008

KAFARA YA OBAMA


Baada ya Barack Obama kuchaguliwa kuwa Rais wa 44 wa Marekani
wanakijiji wa Cavustepe katika Mkoa wa Van nchini Uturuki wameamua
kumtolea kafara mheshimiwa Obama kwa kumchinjia kondoo 44.

Kwa habari kamili na picha zaidi link ni unawez akutembelea wadau kwenye:

www.nifahamishe.com for Tanzania and world news

No comments: