Monday, November 10, 2008

HIACE YA IRINGA

Jamani hii ndio gari ya kisasa Made in Kisesa Iringa inafanya kazi kati ya Ilula na Mjini Iringa! Jamaa ameongeza size ale vichwa zaidi sijui wajapani wana taarifa hizi?

No comments: