Tuesday, November 11, 2008

UDSM MAMBO!

Mgomo Chuo Kikuu


Haya ndio mambo kwenye vyuo Vikuu vya Umma nchini watu wanapunga mikopo kupunjwa, hawaogopi hata polisi, sijui tunaelekea wapi? Kil awiki mgomo, mgomo, migomo!


No comments: