Tuesday, November 11, 2008

MAFISADI WAFIKIA 20

Mafisadi wengine tena Mahakamani, wanaletwa kidogo kidogo sijui lini wataisha nasikia wako wengi mpaka wengine hawakamatiki!? Cheki wanavyokula story ama wamezoea mahakamani? Kutoka kushoto ni Mshitakiwa Mwesiga Rukaza akizungumza na wenzake Ajay Suryakant Somani na Sonani Jai Chhotalal Somani katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana!

1 comment:

Anonymous said...

Daah, mshkaji alikuwa na bingo languvu kumbe fisadi, teh-teh-teh.