Tuesday, November 11, 2008

TID NJE


TID Baada ya kusota jela kwa miezi kadhaa alikwenda mahakamani kukata rufaa, tetesi zimeenea kuwa leo anawez akuw amtu huru tena baada ya kumbuiza jela kwa mud amrefu. Hapa akiondoka mahakamani kwa mwendo wa kunyakuwa kurejea Ukonga sijui Segerea lakini ni jela tu.

3 comments:

Anonymous said...

Duh, Hivi mzee wa Sumo mimi kwa ninavyofahamu TID alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na hivi sasa anatumikia Kifungo hicho, sasa jambo la kushangaza ni kqwa nini TID hajavaa mavazi rasmi ya wafungwa kama wenzake, na kama alikuja mahakamani kusikiliza /kukata rufaa ni lazima angekuja na mavazi hayo maana yupo kifungoni au kuna JELA YA MASTAA kama yeye ambayo hawavai mafazi ya wafungwa?

Anonymous said...

SASA HIYO PUA KAZIBA NA KITAMBAA ILI IWEJE? SIJAELEWA.

Anonymous said...

Uvaaji wa KIMAU ni kwa wasiojulikanA!