Tuesday, November 11, 2008

ODEMBA

Mshiriki wa Tanzania Miriam Odemba akifurahi mara baada yakutangazwa mshindi wa pili wa mashindano ya Miss Earth yaliyofanyika mjini Manila, Phillipines juzi. Miss Phillipines Karla Henry (kushoto) ndiye aliyeshinda taji hilo.

2 comments:

Anonymous said...

Odemba naye bora arudi aolewe ashazunguka sana na haya mambo ya uzuri

Anonymous said...

Angekuwa mshindi wa kwanza huyo Odemba, lakini alijichanganya katika kujibu swali, bora angejibu kwa kiswahili angeeleweka, jibu lake lilikuwa zuri lakini lugha ilimpiga chenga akabaki anajiumauma.