Tuesday, December 23, 2008

FRANCIS APATA MWENZA

Francis Mallomo wa Stanbic Bank akiwa na mkewe, Puyo wakati wa shereh ya ndoa yao iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mdau aliendelea na kinywaji chake cha kawaida yaani serengeti Lager. Kinywaji cha Taifa Stars!


Watu waliserebuka ipasavyo.


Hata wazee walicheza mduara, Mungu awabariki sana katika maisha yao ya ndoa.
4 comments:

Anonymous said...

Hongera sana kaka yangu Francis kwa kupata jiko.Mungu ailinde ndoa yenu na maadui na vizabizabina wasiopenda kuona mafanikio ya ndoa za wenzao.

Mi dada yako tuliishi majirani mitaa ya National Housing Moshi Uru road karibu na Keys hotel miaka ya 1979 tukiwa wadogo kabisa.
KIla la heri kaka.

Anonymous said...

Jamani hata puyo Kaolewa basi hata baki mtu

Anonymous said...

nimeipenda hii harusi inaonyesha furaha halisi.

Anonymous said...

Ndugu mdau namba 2; Nimesikitishwa na comment yako kwamba hata puyo kaolewa! kwani yeye amekosa nini kwa mungu mpaka asiolewe. hayo ni maneno ya msosaji tu yaliyojaa wivu na chuki. mwache mwenzio afaidi. kapata mume bombakichizi. hongereni sana maharusi mumipendeza kiasi chenu. Kila la heri katika maisha yenu ya ndoa.