Sunday, December 28, 2008

GARI YA DILIJamaa walifikiri doria iliyotangazwa wakati wa sikukuu ilikuwa ya utani wakakumbwa na Patrol wakiwa na gari inayosadikiwa kuwa ya wizi! Noma kama walipanga kuitumia mwak ampya ndio imekula kwao sasa, mambo ya kupenda vitu vya deal!

No comments: