Saturday, December 27, 2008

MSAFIRI KAFIRI

Jamani pamoja na maboresho ya miundombinu katika sehemu mbalimbali nchini, lakini hii ya sasa ni kali kwa watu wa mbagala afadhari anayetwembea kwa miguuu hufika haraka kuliko kwa gari!

2 comments:

Anonymous said...

Sasa ndugu yangu unadhani barabara nzuri inashuka kutoka mbinguni? ni lazima kukabiliana na hii hali ili baadae tuje tusafiri kwa raha mustarehe hii ni kama sindano katika tiba au uchungu wakati wa mama kujifungua , haukwepeki ila mwisho wa hali hiyo anabaki kutabasamu kwa kile kilichozaliwa

Anonymous said...

ila kitu na wakati wake. mbagala wanapata shida sasa lakini si mda mrefu watachekelea